HABARI PICHA:YALIYO JIRI KWENYE TAMASHA LA KWAYA ZA UINJILISTI NA KWAYA ZA UAMSHO KWENYE VIWANJA VYA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.
![]() |
| Kikundi cha praise and worship kilikuwepo kwenye tamasha hilo. |
![]() |
| Tamasha hili lilibarikiwa kwa kuwa na wachungaji kadhaa akiwemo MCH.ANTA MURO |
![]() |
| Baadhi ya watu waliohudhuria wakiburudika na nyimbo zilizokuwa zikiimbwa kwenye jukwaa na kwaya mbalimbali |
![]() |
| Kwaya changa ya Bunju A ikiwa stejini ukionesha umahiri wake pamoja na uchanga wao wa miezi takriban mitatu. |
![]() |
| Mwanadada ambae aliweza kufurahisha hadhara kwa mtindo wake wa kucheza kwa "ROSE MUAHANDO" |
![]() |
| Mpiga gitaa alie wafurahisha watu kwa uwezo wake wa kupiga gitaa kwa viungo vyake,(pua,miguu) |











Post a Comment