KUSANYIKO LA KUSIFU NA KUABUDU JIMBO,LILILOFANYIKA KANISA LA KKKT KIJITONYAMA TAREHE 30 OCTOBER 2016

Kama CALVARY YOUTH MEDIA tunakuletea tukio zima kwa njia ya picha kama ifuatavyo;-
Kikundi cha kusifu na kuabudu cha jimbo kilikuwepo katika Tamasha hilo la kusifu na kuabudu lilofanyika kanisa la KKKT KIJITONYAMA

Baadhi ya vijana waliohudhuria Tamasha hilo la kusifu na kuabudu lilo fanyika kanisa la KKKT KIJITONYAMA


Mwinjilisti kiongozi wa kanisa la KKKT usharika wa KIJITONYAMA (LEORNAD PAULO) akifungua kusaniko la kusifu na kuabudu kwa niaba  ya mkuu wa jimbo.

Mwenyekiti wa vijana jimbo la kaskazini (AMON KYOMO) akisema jambo katika kusanyiko la kusifu na kuabudu.

Kikundi cha kusifu na kuabudu jimbo,kikiwa jukwaani tayari kwa kuanza huduma.

Add caption

Vijana wakiwa wanaburudika ndani ya Yesu kwa kucheza kwatika kusanyiko hili lililo fanyika kwenye kanisa la KKKT usharika wa KIJITONYAM

Mwenyekiti idara ya uinjilisti Kaka MBONEA MFANGAVO akibubujika kwenye uwepo wa MUNGU. Hakika ilikuwa ni siku ya kipekee sana kwa vijana wote wa jimbo la kaskazini.



Katibu wa umoja wa vijana jimbo la kaskazini nae pia alikuwepo katika kusanyiko hilo la kusifu na kuabudu usharika wa KIJITONYAMA.














1 comment:

DESIGNED BY CYM. Powered by Blogger.