MATUKIO YA PICHA YA IBADA YA KUMSIFU MUNGU NA KUMWABUDU ILIYOANDALIWA NA UONGOZI WA UMOJA WA VIJANA WA DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI ILIYOFANYIKA JUMAPILI YA TAREHE 22/01/2017 KATIKA USHARIKA WA KIMARA KUANZIA SAA 7:00 MCHANA HADI SAA 12:00 JIONI.
![]() |
| Vinaja kutoka sharika na mitaa iliyopo ndani ya Dayosisi ya Mashariki na Pwani walijitokeza kuhudhuria ibada hii. |
![]() |
| Baada ya vijana kuwa wengi zaidi na kujaza kanisa kwa ndani ilibidi vijana wengine wakae nje na bado ibada ilifana sana. |
![]() |
| Praise team ya Dayosisi ikiongoza ibada katika kumsifu na kumwabudu Mungu. |
![]() |
| Vijana wakicheza na kumsifu Mungu |
![]() |
| Hivi ndivyo ilivyokuwa shangwee na ndelemo kwaajili ya Bwana na vijana walizitumia nguvu zao kwelikweli! |
![]() |
| Vijana wakimsifu Mungu |









































































































Post a Comment